Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
nampango wa kuanza chuo mwakani ningependa kujua Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM.
 
Kiu ni chuo cha kisanii na hakina ubora mara kwa mara tcu wametilia shaka uwezo wake nenda udom ni bora zaidi ya icho
 
Kupanga udom na kiu unakosea,kiu ni kama vile zoom tanzania,eaglewing,ama cbm pale sinza madukani ama datastar
 
Kupanga udom na kiu unakosea,kiu ni kama vile zoom tanzania,eaglewing,ama cbm pale sinza madukani ama datastar

Mbona nimeona matangazo yao ni kuzuri sana kuliko ivoo unavotaja ??
 
nafikiri UDOM kuna ubora wa elimu kiasi kuliko KIU.
 
Maisha yatawatofautisha,sio umetokea chuo gn!!!
Komaeni kulinganisha vyuo wenzenu wanapaa....
Im done!!!
 
Kidergerten unv!ndo jina wanaokiita uganda nackia,ila pia ada yao kubwa.na sizani kama kuna uwiano wowote kati ya jina la kidagaten na chuo.ila UDOM NDO CHUO KINACHOBEBA KILA AINA YA KOZ,BUT UKIPATA cUt off point za kubabaisha unazuka tu kiu ila uwe na mkwanja,hayo ni maoni ya majiran zangu wa chuo cha uhasib dar
 
Kiu Vs Udom

1. Udom ni cha serikali wakati Kiu ni cha "private".

2. Udom kipo Dodoma wakati Kiu kipo Dsm.

3.

Kuhusu Elimi vimefanana. Ni blah blah tupu.
 
Kiu Vs Udom

1. Udom ni cha serikali wakati Kiu ni cha "private".

2. Udom kipo Dodoma wakati Kiu kipo Dsm.

3.

Kuhusu Elimi vimefanana. Ni blah blah tupu.

Wewe ni zoba sana,fatilia ujue UDOM cfa zao ni zpi? ukiwa umefaulu kama wewe hupati nafasi UDOM,UDOM dvn one mwisho dvn two.
 
wewe kweli amnazo unafananisha uhai na kifo? udom ni chuo bora east africa, sema ni chuo kichanga...katika rankn za tanzania udom ni ya nne juu ya mzumbe
 
Nenda kwenye hicho chuo cha kumchangia mwenyekiti achukue form ya kugombea
 
Kiu Vs Udom

1. Udom ni cha serikali wakati Kiu ni cha "private".

2. Udom kipo Dodoma wakati Kiu kipo Dsm.

3.

Kuhusu Elimi vimefanana. Ni blah blah tupu.

Wewe ni zoba sana,fatilia ujue UDOM cfa zao ni zpi? ukiwa umefaulu kama wewe hupati nafasi UDOM,UDOM dvn one mwisho dvn two.
 
Mhm!hizi ligi za vyuo hazijaishaga tu?
 
Back
Top Bottom