Chuo kipi cha Serikali kizuri kwa nursing?

Chuo kipi cha Serikali kizuri kwa nursing?

omarygope

New Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
4
Reaction score
0
wadau naomba mnisaidie chuo kipi kizur cha serkal nursing ?
na utaratbu wa kuomba ukoje??
 
Operating theatre management school of mbeya consultant hospital diploma wanatoaa nenda nacte kaaply
 
Naskiaaa wameongezaa wizara imekuwaa 1300000 kwasasaa kilachuoo cha gov ndoiyoo ada kwa sasa
 
njoo lugalo military college of science niko mwaka wa pili clinical officer.kuapply tumia nacte website maana washaanza toka mwez wa nne.karibu sana.
 
Back
Top Bottom