Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

1. HUBERT KAIRUKI - DAR.
2. KAMPALA INTERNATIONAL-DAR.
3. ST. FRANCIS - MOROGORO
4. ST. JOSEPH -DAR
1.St fransic hakina u tofaut sana na top 3 medical school (Muhas, Kilimanjaro, &Cuhas) shule ya kuunga unga hapa kisanga pesa uwe nayo ilibumalize shule bila shule .....research zinafanyika san research ndizo zinazoongeza ubora wa institution wanaushirikiano mzuri na baadh ya malecturee kutoka muhas & NIMR katika research

2. kairuki hapa shule kiasi kikubwa pesa & pumzi uzuri wao wana vifaa vya kisasa na highly techncal bench kuliko hospital zote za tanzania

3. kampala hapa hakun kitu cha muhimu kikubwa degree malecturee wa muhas part time utawakuta hapa module moja ina slide 16 shule ya maana haipo hapa.

4. St joseph degree ipo pesa iwepo ushamaliza shule jiandae kisaikoloji malecturee kutokuja vipindini.
 
Back
Top Bottom