Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

Kwa orodha yako ya vyuo, inaonesha una matokeo ya kuunga unga na umepigwa chini MUHIMBILI NA UDSM. sasa unakimbizana na chaguo la tatu.
Nakushauri uanze na Diploma Clinical Medicine. Au kubadili mtazamo ukasome SUA kozi za kilimo.
sio kila mtu amezaliwa awe daktari
Sawa ila huwezi jua kupitia maisha gani? Huwezi kulinganisha mtu

aliyesoma Special School au Private kama Feza, Marian n.k na shule
za kawaida. Japo akili huyu wa shule za kawaida anaweza kuwazidi ila

mazingira na umaskini ukawa ndio kikwazo kwake.
 
Back
Top Bottom