blesssedgirl
Member
- Oct 31, 2014
- 11
- 4
Habari zenu wapendwa.. Naomba mwenye kujua institution zilizo bobea vizuri zinazotoa training za cisco hapa dar es salaam.Niliaply pale ucc ila hawajaanza kufundisha mpaka leo kila nikipiga simu naambiwa bado tupo wachahe.
So natafuta sehemu nyingine,mwenye uzoefu jamani anisaidie nimechoka kukaa nyumbani,kazi sipati bora nikasome.
So natafuta sehemu nyingine,mwenye uzoefu jamani anisaidie nimechoka kukaa nyumbani,kazi sipati bora nikasome.