NyotaMalaika
Senior Member
- Aug 6, 2012
- 167
- 77
Kilwa road kitu cha ufundi karibu kabisa na kona ya kwenda uhamiaji
Nenda UDOM ipo hiyo course
Ndo kinavyoitwa hivoo.?
Hapana
Kinaitwaje kiongozi.?
Jibu ni chuo cha diplomasia na udom.... Kwa udsm hamna special degree program ya international relation (that's very sad to me too) ila utaikuta kama course kwenye program kama journalism
Sasa ubishi wa nini mjibu tu jamaa kuna bachelor degree ya international relations ? Maana wanaosoma PSPA module za IR ni chache hawawezi jicompare na udom au chuo cha diplomasia.....