Chuo kipi Tanzania kinatoa kozi ya International Relations?

Chuo kipi Tanzania kinatoa kozi ya International Relations?

NyotaMalaika

Senior Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
167
Reaction score
77
Habari wana JF,

Ningependa kufahamu ni chuo kikuu kipi hapa Tanzania kinachotoa kozi ya international relations..

Nawasilisha na ahsanteni!
 
Kilwa road kitu cha ufundi karibu kabisa na kona ya kwenda uhamiaji
 
centre for Foreign Relations hebu ki Google kipo dsm
 
chuo cha diplomasia na udom

sina uhakika na udsm
 
kinaitwa tanazania institute of accountancy ila course inaitwa marke public relation na sio internationaon
 
Udsm wanatoa IR ila mwaka wa kwanza unasoma course mchanganyiko za Public Administration , political science na Internation Relations
Mwaka wa pili ndo utachagua kipi cha ku major either PS , PA or IR
 
Chuo kikuu Dodoma (UDOM) au Centre for Foreign Relations kipo kurasini ( ila mpaka mara ya mwisho kukifahamu wanatoa kozi za Certificate, Diploma na Post Graduate)
 
UDOM: Kw Kuw Wanafundsh Pia Lugha Nying Z Kimataifa (Chinese,korean,japanese,etc)Utapata Nafasi Ya Ku Opt,nafkir Ni Vzur Kwa Kuanzia.. Piau UDSM & MZUMBE pia nafkiri wanayo hiyo course cha msingi omba nafasi TCU,washatangaza..
 
Jibu ni chuo cha diplomasia na udom.... Kwa udsm hamna special degree program ya international relation (that's very sad to me too) ila utaikuta kama course kwenye program kama journalism

mkuu UDSM wanafundisha IR lakini ndani ya progemme ya PSPA. kwa postgraduate wanafundsha IR as a full programme
 
Sasa ubishi wa nini mjibu tu jamaa kuna bachelor degree ya international relations ? Maana wanaosoma PSPA module za IR ni chache hawawezi jicompare na udom au chuo cha diplomasia.....

kwani ni wapi mtoa mada amesema anahitaji kusoma bachelor au postgraduate?? ye ameuliza chuo kinachotoa kozi ya IR.
Kwa mtindo huu ndio maana wasomi wengi mnashindwa kwenye usaili
 
Back
Top Bottom