shekulumkende
Member
- Aug 6, 2013
- 50
- 12
Chuo cha nursing kilichofunguliwa mwaka huu kilichopo wilaya mpya Mkalama mkoa wa Singida bado nafasi zipo,ni cha Private sifa za kujiunga zina baki zile zile kama wizara ilivyotoa maelekezo kwa mawasiliano zaidi tumia email hii enocklyanga2000@gmail.com