Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

Nmemaliza form four 2011 nna mpngo wa kuapply clinical officer kwa vyuo vya serikli en pass marks zng ni CCD kwa chem,bios na phz VP ntapata kweli
 
We jamaa ni boya Umekazania Vyuo vya Serikali wakati umefeli mi nakushauri Nenda KCMC Ni karibu na Tanga lakini kina mixed ownership siyo cha serikali moja kwa moja kwa matokeo hayo utasoma MD bila ushindani MUHAS na DCB???? Hutaweza mziki wake nenda nenda nenda nenda nenda nenda KCMC.

Unaijua Kcmc Ww, Au Unasema 2 Mbona Unajifanya Unajua Sana Wakat Ni Kilza 2 Kama Vilaza Wengine
 
Back
Top Bottom