Ok,thanx na form six aliyesoma EGM inawezekana? je anaanzia Dip au advanced Dip.Yap true bt uwe una at least pass zote za masomo ya sayansi kama unatumia Cheti cha form 4
kwa muonekano wng the best ni DIT na ada ni kama 700000 au 900000 kwa mwaka if am not wrong
Ok,thanx na form six aliyesoma EGM inawezekana? je anaanzia Dip au advanced Dip.
Hakuna Advanced diploma D.I.T Inatakiwa O-level uwe una At least Physics C, Mathematics C , Chemistry C kwa Programe ya Laboratory Inatakiwa Biology C plus Hayo masomo mengine ili Kusoma Diploma ya Miaka 3 na uhakika hawajataja Economics,Bookkeeping/Accounts, Geography na Commerce kwani hayo siyo masomo ya Sayansi na Mtu aliyesoma EGM hiyo siyo sayansi huitwaga Social studies!
Uzuri wa D.I.T wahadhiri wengi hawajasomea Bongo! Ni chuo Kizuri hapa Bongo!