Chuo kizuri kwa Diploma ya IT

Chuo kizuri kwa Diploma ya IT

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Naomba kuuliza,je ni chuo gani kizuri cha serikali kwa kutoa course za Diploma ya IT..kwa mwenye ufahamu anisaidie na ada zao zipoje.
 
kwa muonekano wng the best ni DIT na ada ni kama 700000 au 900000 kwa mwaka if am not wrong
 
Yap true bt uwe una at least pass zote za masomo ya sayansi kama unatumia Cheti cha form 4
 
Ok,thanx na form six aliyesoma EGM inawezekana? je anaanzia Dip au advanced Dip.
 
Hakuna Advanced diploma D.I.T Inatakiwa O-level uwe una At least Physics C, Mathematics C , Chemistry C kwa Programe ya Laboratory Inatakiwa Biology C plus Hayo masomo mengine ili Kusoma Diploma ya Miaka 3 na uhakika hawajataja Economics,Bookkeeping/Accounts, Geography na Commerce kwani hayo siyo masomo ya Sayansi na Mtu aliyesoma EGM hiyo siyo sayansi huitwaga Social studies!

Uzuri wa D.I.T wahadhiri wengi hawajasomea Bongo! Ni chuo Kizuri hapa Bongo!
 
thanx allen
 
Kuanzia levo ya mastazi wengi wamesomaa China na Russia na baadhi vyuo vya nje but wengi walipitia hapohapo dit kwa diploma FTC na beng
 
Back
Top Bottom