Chuo na kozi bora kwa masomo ya PCB

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Wadau naombeni mnishauri mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2014,
na nilishindwa kuomba chuo kutokana na kuto kuwa na uamuzi sahihi wa kuchagua nini nikasomee.kwahiyo kwa yeyote anaye ijua kozi bora ambayo ajira yake ni ya mojakwamoja ma mshahara wake si wa kubabaisha naomba anisaidie il na mimi mwakani nikaanze kusomea kazi.
Asanteni!
 
muhimbili nursing,
udom pharmacy na nursing.
 
Huu ni uongo...

Eleza sababu ya ukweli bana ..kwa nini huja apply mwaka huu?

Ngoja ni guess
1.ulikosa ufadhili from HESLB
2.Marks zako ziko low...due to competition ukakosa course programe nzuri na chuo kizuri.

Ushauri
Bsc in medicine
1.muhimbili
2.kcmc
3. Bugando
 
tatizo hutaki kuwa muwazi kwa nin hujaaply mwaka huu,,,,afu course inategemea pia ufaulu wako kwa hyo napata wasiwasi kukuambia uapply medicine muhimbili wakati ufaulu wako ni wa bachela of education with science pale SAUT
 
Umeona eeh ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…