Chuo siendi sasa niende wapi?

Chuo siendi sasa niende wapi?

Peaceful Warrior

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
125
Reaction score
28
Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata cheti cha 4m 4 kichafu sana hakiwezi kutumika. msaada wa mawazo.
 
cheti cha form 4 ulipata nini mpaka unasema ni kichafu vp kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha sita?
 
Nenda zako diploma asee...arusha university..cbe..muccobs...kozi za economics na finance utazikuta huko...
 
Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata cheti cha 4m 4 kichafu sana hakiwezi kutumika. msaada wa mawazo.

div 4, nikarisit ndo nikapata credit ya 3
 
We jihusishe na masuala ya kilimo na ufugaji tu!!
 
Nenda CBE, IFM, TIA. usikate tamaa Dogo, pambana mpaka pumzi ya mwisho...
 
Mi nakushauri Uanze upya kuanzia Step A. na sasa hivi uachane na mambo mengine kabisaa uwe serious na masomo, soma huku unaweka ndoto flani mbele, kua na goal unayotaka kufikia, ukiona huelewi apply a different method of studying, walimu hakuna piga tuition labda kama financial status kwako ni ngumu ila kama sio Fanya sacrifice ukomae kwa bidii sana
 
sio kila mtu lazima asome chuo
sent via Samsung galaxy S4
 
Uckate tamaa.....nenda diploma tia ata cbe watakuchukua...pambana mda unao
 
Back
Top Bottom