Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 28
Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata cheti cha 4m 4 kichafu sana hakiwezi kutumika. msaada wa mawazo.

Anzisha biashara ya kuuza bagia
We jihusishe na masuala ya kilimo na ufugaji tu!!
Anzisha biashara ya kuuza bagia
Acha kejeli ndugu.Kupata kwake IV isiwe sababu ya kumkejeli.IPO SIKU UTAIKUMBUKA KAULI YANGU"leo kwake,kesho kwako".MUNGU AKUREKEBISHE!!!
Anzisha biashara ya kuuza bagia
We jihusishe na masuala ya kilimo na ufugaji tu!!
Nenda zako diploma asee...arusha university..cbe..muccobs...kozi za economics na finance utazikuta huko...
mkuu vp kama geo nna e,hist s, bt economics nna f,stl naweza soma diploma ya course za biashara?