ah! dharau hizo dada sio vyema
yanahitaji mtaji hayo ....msaidie
Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata cheti cha 4m 4 kichafu sana hakiwezi kutumika. msaada wa mawazo.
mkuu vp kama geo nna e,hist s, bt economics nna f,stl naweza soma diploma ya course za biashara?