Chuo siendi sasa niende wapi?

Chuo siendi sasa niende wapi?

Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata cheti cha 4m 4 kichafu sana hakiwezi kutumika. msaada wa mawazo.

vigezo vya kujiunga navyuo vya diploma ni uwe na principal pass moja na subsidiary moja!hivyo ww umetimiza vigezo kwakua una E na S,unapata chuo cha diploma!omba education!
 
usikate tamaa ndugu yangu tafuta vyuo kama ruco, muccobs, tumaini , tia unaweza kupata
 
Ingia jeshin mura inaonyesha kitabu hakikupendi utapoteza muda tu huko lyf co form 4->form 6->chuo maisha hayana formula.
 
Tia,hapo hamna kitu nenda cbe cheti

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
We nenda ufundi tu VETA

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu vp kama geo nna e,hist s, bt economics nna f,stl naweza soma diploma ya course za biashara?

Uwezekano upo!! Na nnakushaur uende moja kwa moja chuon...usikate tamaa....
 
Back
Top Bottom