nimekuwa nikifuatilia mada mbalimbali hapa jukwaani kuhusu elimu ya mtu na chuo alichosoma.kuna wadau wanadai eti kama ukisoma Havard au UDSM au Oxford basi wewe una weledi sana wa masomo kuliko watu wengine waliosoma nvuo kama mzumbe na nk.nachotaka kuwambia wadau na pengine kuwapa elimu kuhusu hili swala ni kwamba chuo haki determine weledi wa mtu kabisa.weledi wa mtu ni mtu mwenyewe.mfano mimi hapa nimesoma degree ya kwanza ya biashara open university na MbA finance hapo open university .lakini ninapiga part time kwn colleges zote kubwa na ninakubalika sana.Pili angalia kikeke na charles hilary wa BBC je wamesoma wapi?kikeke amesoma college za kawaida sana hap bongo na pia charles.Lakini mavitu yao dunia nzima inawakubali sana.sasa utasema walisoma Oxford?nafikiri wadau mmenielewa tusikalili.