chuo sio kigezo cha weledi wa mtu.

chuo sio kigezo cha weledi wa mtu.

neindiwe

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
33
Reaction score
22
nimekuwa nikifuatilia mada mbalimbali hapa jukwaani kuhusu elimu ya mtu na chuo alichosoma.kuna wadau wanadai eti kama ukisoma Havard au UDSM au Oxford basi wewe una weledi sana wa masomo kuliko watu wengine waliosoma nvuo kama mzumbe na nk.nachotaka kuwambia wadau na pengine kuwapa elimu kuhusu hili swala ni kwamba chuo haki determine weledi wa mtu kabisa.weledi wa mtu ni mtu mwenyewe.mfano mimi hapa nimesoma degree ya kwanza ya biashara open university na MbA finance hapo open university .lakini ninapiga part time kwn colleges zote kubwa na ninakubalika sana.Pili angalia kikeke na charles hilary wa BBC je wamesoma wapi?kikeke amesoma college za kawaida sana hap bongo na pia charles.Lakini mavitu yao dunia nzima inawakubali sana.sasa utasema walisoma Oxford?nafikiri wadau mmenielewa tusikalili.
 
Umeingea kweli mkuu bcs sometime unaweza ukenda chuo kutokana na kufata kozi flani ambayo umeikosa kwenye chuo kikubwa kwa sababu matikeo hayakua mazuri ijapokua una uwezo mkubwa
 
We balaaa, unajiona upo sawa na wajamaaa wa havard.............?
Unasoma chuo cha inzi ambacho hata hakijulikani kwenye ramani ya elimu unategemea ukubalike?
Najua wapo wakali katikati ya wanyonge lakini mpaka mtu akakuamini inachukua mda sana.
Rank ya vyuo vikuu hawajakurupuka tu kuiweka.
 
Chukua na PhD hapohapo kinondoni (open university) ili uzidi kuwa competent.
 
Back
Top Bottom