Jamani naombeni ni waulize nyie mnao jua hivi ipi faida anayopata mume kwa mkewe ambae ana makalio makubwa?
Nakujulusheni wana jamii kwamba ile dhamira yangu ya kupata Chuo kwa lugha ya kiarabu imejamilika Na tayari Mimi ni mwanafunzu wa Almadina university of maleshia .Asanteniiiii ila naombeni Kama yupo mtu anaweza kunissidia Ada basi anijulishe .
yani mtu apoteze pesa zake kukusaidia usome lilugha la kiarabu ambalo ni lilugha la maghaidi.