Chuo

Chuo

Msai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Jamani naombeni misaada yenu Mimi nataka kusoma online lakini kwa lugha ya kiarabu nijulisheni vyuo vyenye huduma hiyo
 
Jamani naombeni ni waulize nyie mnao jua hivi ipi faida anayopata mume kwa mkewe ambae ana makalio makubwa?
 
Tumia akili hapa sio mahali pake hilo kama una issue za mapenzi nenda jukwaa la mapenzi
 
Nakujulusheni wana jamii kwamba ile dhamira yangu ya kupata Chuo kwa lugha ya kiarabu imejamilika Na tayari Mimi ni mwanafunzu wa Almadina university of maleshia .Asanteniiiii ila naombeni Kama yupo mtu anaweza kunissidia Ada basi anijulishe .
 
yani mtu apoteze pesa zake kukusaidia usome lilugha la kiarabu ambalo ni lilugha la maghaidi.
 
hv yule carlos alikuwa mwarabu.?
victor ambrose je?
Usihukumu kihivyo Mkuu.
 
Back
Top Bottom