You should feel ashamed, mawazo kama haya yanaleta system zinazodestroy men's power, mawazo kama haya yanaleta ufeminist, mwanamke ni wakuongozwa always, women=weakness, umalaya wa mwanamke una madhara kwa maisha in general. Labda kama unacomment kutafuta likes. I'm suprised with how stupid betas think.
Wewe unathibitisha kuwa kuna some weak men wanaotaka ku control wanawake.
Kwao wanaona hiyo ni strength, wakati hiyo ni weakness. Ni insecurity.
Wanaume secure hawana haja ya kutaka ku control wanawake. Pengine hata wanawake wenyewe wanawataka hawa wanaume secure wawaongoze, kwa sababu wanagundua kwamba hawa wanaume wana vipaji vya uongozi, na wanathamini utu wa watu bila kujali jinsia.
Mimi sipo katika u feminism wala patriarchy, mimi nipo katika kutaka kila mtu amuheshimu mwingine na kila mtu aweze kujiamulia mambo yake mwenyewe.
Sasa, wewe ukishaanza na premise kwamba mwanamke ni wa kuongozwa always, unajionesha upo katika enzi za ujima.
Huelewi kwamba wanawake hawako monolithic, wanaume hawako monolithic.
Unapenda majibu mepesi kwa maswali magumu.
Huwezi kuangalia mambo kwa kina na nuance.
Unaishi kwa kukariri.
Wanawake ni nusu ya jamii, watu walioendelea wamejua hili na kuweza kuwashirikisha zaidi wanawake, kuheshimu utu wao, kuwapa nafasi za uongozi. Jamii zinazoshikilia hoja za kijima za "wanawake ni watu wa kuongozwa tu" zimejipunja vipaji vingi vya wanawake.
Ndiyo maana leo hii, jamii zilizowashirikisha zaidi wanawake huko Ulaya na America zimeendelea zaidi kuliko jamii ambazo zinawaona wanawake kama "watu wa kuongozwa tu" huko Africa. Tofauti katika chumi zetu zinatuonesha hilo.
Kama unataka kuendelea kuishi katika umasikini, ujinga na maradhi, endelea tu kuamini "wanawake ni watu wa kuongozwa tu".
Pia, nitake radhi kwa kusema naandika kwa kutafuta likes.Mimi na post some very unpopular opinions and facts hapa, ningekuwa natafuta likes nisingeposts hivyo.