Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

Jichanganye tu mtaani hakuna kanuni asikudanganye mtu,weka uoga na aibu pembeni anza na mishemishe ambazo wewe unaona ni za kijingajinga,yaan mishe ambazo vijana wengi wanaona noma kuzifanya hasa wasomi

Mi mwenyewe nilishawahi kuingia kwenye mtego uliopo wewe,lakini nilifanikiwa kuushinda,we jiflashi uwe mtu mpya,haitakuchukua muda mrefu utarudi kwenye form
 
'Degree honorable'...!! The Amazon College et al, wenye 'degree honorable' si huwa wanatafutiwa ajira..! BTW zile karanga zimeisha..?
 
Duh mkuu Hi Kali aisee ngoja tuone
 
Darasa sio msikiti wa kanisa

Kubana matumizi sio njia ya utajiri

Kuwa mjuaji zaidi ya wengne sio fursa

Kuwa kimya sio tiba ya kukosa hela

Kuwa makini na maamzi yako
No 2 kwa kila dalili wewe sio tajiri na wala huna ndoto za kuwa tajiri, umeshajikatia tamaa na harakati za kuwa tajiri. hiy ni moja ya njia ya kujenga/kupata utajiri. SPEND LESS THAN WHAT YOU EARN.
 
Wewe una cleansheet sio honorable. Kumaliza bila sup sio kwamba ndio umepata honors. Angalia scores zako za G.P.A vizuri. Kama zikikaa kwenye graph zinaenda zikiongezeka mpaka ulipomaliza semester ya 6 then that will match your notion.
 
hahaha yaan we dogo nakufananisha na CCNP Engineer yaan kila Uzi lazma utaje bachelor yako ya education

Huku mtaani ndo uje uoneshe hiyo elimu yako ili ufankiwe
 
No 2 kwa kila dalili wewe sio tajiri na wala huna ndoto za kuwa tajiri, umeshajikatia tamaa na harakati za kuwa tajiri. hiy ni moja ya njia ya kujenga/kupata utajiri. SPEND LESS THAN WHAT YOU EARN.
Wewe ndio umesema Mimi ni miongoni mwa matajiri wakubwa mkoa wa mbeya
 
Hahahaa ndio shida ya kukariri badala ya kuelewa. Bila shaka naamini chuoni ulifundishwa somo la ujasiriamali na ukalifaulu vizuri tu.. sasa sisi standard seven unataka tukusaidieje "msomi wa elimu ya juu" kabisa!?
 
Jiunge na FOREX uweze hata kupata pesa za chakula, pia kwakuwa nimsomi nifuate inbox nikupe baadhi ya materials uyasome uelewe ili uweze kupata pesa nyingi zaidi


PIA UFUATE HUU UZI UWEZE KUAMUA VYEMA
 
japo sikujui ila napinga hili kwa asilimia mia moja. tajiri mkubwa hawezi kutoa mawazo kama yako hapo juu.
Sawa ila nilitoa kulingana na maelezo yake ungeomba ufafanuzi ningekupa ila kwa kuwa umehukumu basi endelea na mawazo unayo niwazia
 
Dogo acha kuweweseka mtaani hakunaga fomula maalumu..chamsingi pambana kwa malengo..
 
Kwani huko chuo walikufundisha kufanyaje ?

Je, unachotaka kukifanya ndicho ulichofundishwa chuo kukifanya ?

Kama HAPANA kwanini ufanye kitu ambacho hukuona kama unakihitaji tangu mwanzo ?
Umenifanya nitabasamu kwa huzuni!!! Kwamba vijana wanagraduate vyuo kwa hanaroble degree alafu hawajui tena waanzie wapi wakirudi kitaa kana kwamba miaka yote walikuwa wanajifurahisha vyuoni.

Nyerere was geneous alivyokuwa anasisitiza zaidi education for self reliance

Ukisoma hiyo falisafa yake alilenga hasa hasa kila level ya elimu ijitosheleze

Yaani kijana anayehitimu darasa la saba akashindwa kuendelea na ngazi inayofuata hata akirudi mtaani tayari anakuwa na skills zitakazo mfanya asibabaike aanzie wapi kulingana na level ya elimu yake

Kuna mzee mmoja alikuwa ananisimulia kuwa hadi miaka ya tisini vijna wakimaliza la saba walikuwa wanauwezo wa kujua mbegu bora ikoje, inapatikanaje, inatunzwaje na shamba linaandiliwaje

Hii Elimu ya mwingereza hii ilikuja kutuvuruga tu. Hata wataalamu wa Elimu wanasisitiza mtoto afundishwe namna ya kukabiliana na mazingira yaliyomzunguka ili aweze kusaidia jamii.

Lakini cha ajabu graduate anakuja kuuliza mtu wa kitaa badala aje na ujuzi wake kumsaidia mtu wa kitaa kutatua changamoto za kitaa
 
Huku hakuna formula pambana kufikia lengo
 
Mkuu swali lako zuri sana na wengi huwa wanachelewa kujiuliza swali hili muhimu:
Kwanza nianze kwa kukwambi formula ya mafanikio ni moja tu...Persistence akisaidiwa na perseverance
"Iko hivi wale ambao huingia mtaani bila mvyeti huwa hawana mbadala isokuwa njia hii ya P&P ila wale ambao mnaingia na vyeti huwa mnakuwa na option hivyo mnasahau umuhimu wa P&P ambayo ndio ilokufanya upata degree safi.

Sasa ili ufanikiwe anza hapo ulipo.

What do you have and what can you do with it to change your life?

Ukianzia kufanyia kazi ushauri wangu huu ambao hauhitaji kusoma sana basi na hakika utafanikiwa sana
 
Ukiona umesoma chuo na hujui Ku link uliyosoma chuo na mambo ya mtaani , ujue ulikuwa msindikizaji tu.

Na hiyo hon yako ilikuwa ya kukariri
 
Mtaani hakuna mitihani lakini kuna supp. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtaani hakuna mitihani lakini kuna supp. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…