Chupa moja ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku.

Chupa moja ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku.

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
Watafiti wa afya ya uzazi Chuo Kikuu cha Milan Italia wamesema wanaume wanaokunywa chupa 1 ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku wana mbegu bora kuliko wasiokunywa na kuwa mbegu zao zina uwezo mkubwa wa kuogelea. Utafiti huo umechapishwa katika jarida maarufu la tiba la Andrology.

Sio mimi, nimeikuta somewhere..ndo mambo ya watafiti hayo,fanyeni kuanza Kunywa kidogo kidogo ambao hamnywagi,[emoji1] [emoji1]
 
Hapo juu heading ni mvinyo Na sio mwisho(typing error)
 
na bei inashuka hapo ndipo ubora utaongezeka mara dufu
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Back
Top Bottom