Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

eh........usijenfanya nikachukiwa bure..............

Afu huyo MJ (Michael Jackson) kwenye signature yako ..........Kwa nini hakuongezea One huko mbele lol


Hehehehehe umeona eeh! hahahahah mie sitii neno MJ1 🙂
 
Reactions: Mbu
Leo mimi water girl
ntaa kuwa kwa pembe tu ...
Bench ..
Sante Mbu thread nzuri sana
Na mi leo naungana na Afrodenzi, ngoja nisome yale ya great thinkers wenzangu, Mbu its another exciting thread, big up
 
Reactions: Mbu
Haaa haaa BJ bana! umenifurahisha sana hapo,
 
MJ1 confession yako imenichekesha sana but ni nzuri sana kwasababu hiyo ni hali ya kawaida kwa wanawake wengi from what i know,
 


This applies to me Mbu nimecheka mpaka nimelia kha!!!!!!!!
 
Reactions: Mbu
"CHUPA MPYA, MVINYO ULE ULE" Mkuu umetumia falsafa pana sana hapa, safi sana!
 
Reactions: Mbu
.......Swahiba Mbu, there you go again!!!

Mie nina wivu aisee, maswali gani hayo???
 
Reactions: Mbu
.......Swahiba Mbu, there you go again!!!

Mie nina wivu aisee, maswali gani hayo???

We umenifanya nicheke asubuhi asubuhi........... eti una wivu, sasa hii ndo tabia yako mbaya au? lol

Huyu Mbu bwana siku hizi sijui nani kam'haribu' huko nyuma hakuwa hivi ujue lol
 
MJ1 confession yako imenichekesha sana but ni nzuri sana kwasababu hiyo ni hali ya kawaida kwa wanawake wengi from what i know,

One and Only //huyu Mbu anataka kuleta balaa hapa..anatufanya watu wazima tu'jifunue' hadi ndani ah. ama kweli
 
Reactions: Mbu

Mshiki ........kumbe we mbishi aisee!! Najaribu kupiga picha ukiwa ndo wewe na Mbu.........sijui itakuwaje.

Afu mwanaume mwenye akili za kiume ndo yupi?? lol
 
Reactions: Mbu
Nyumba kubwa wala huna haja ya kushikwa na hasira kwa jinsi mumeo anavyokuwa mgumu kukubali udhaifu, niamini hayuko peke yake. Cha msingi wewe umeshaujua udhaifu huo so ikitokea huna haja ya kubishana naye, mkubalie hutopungukiwa na kitu... Mwanaume hukumbushwa, hakosolewi lol mabibi wa zamani walikuwa na kazi kweli lakini wameturahisishia formular rahis ya kuishi pamoja under minimum clashes
 
Reactions: Mbu
.......Swahiba Mbu, there you go again!!!

Mie nina wivu aisee, maswali gani hayo???

ha ha ha!

Kamandaaa!...
wivu wa nini tena kaka?
Nini kiini cha hofu na mashaka ilhali keshakutunukia moyo wake nawe umeushikilia kwa mikono miwili?
Hebu kuwa mkweli bana, ni nini kinachokutoa raha mpaka wivu unajaribu kupita reasoning power yako.

Mshiki ........kumbe we mbishi aisee!! Najaribu kupiga picha ukiwa ndo wewe na Mbu.........sijui itakuwaje.

Afu mwanaume mwenye akili za kiume ndo yupi?? lol

Mnh, Mwj1 hiyo picha itatokea -VE tena itakuwa inatisha utadhani ile ya X-Ray!
LD na mimi itakuwa kila siku kelele ndani ya nyumba...
Mimi nashikilia glass imejaa nusu ujazo,
yeye ananibishia eti imepungua nusu ujazo!
LD kama unabisha, hebu nijibu kwanini kuku alivuka barabara? he he he...tutakesha!
 

Mnh, Ballerina naona mazuri yako yamezidi mapungufu yako. Huo mzani endelea nao hivyo hivyo,
huna haja ya kubadilika. La msingi hakikisha wanaong'ang'ana kuingia akilini mwako 'waache viatu vyao mlangoni!'


Nyumba kubwa wewe upo too Intruitive, au instinctive...
so long as hiyo tabia haitokupelekea kuwa argumentative, endelea na udadisi wako.
Ukiona marafiki wanakukimbia ujue wameshindwa kukabiliana na cross examinations zako, LOL!

Hilo la jinsi ya kum handle mumeo, acha nimkabidhi chaki na ubao MwanajamiiOne aendelee na darasa.
BTW, kwa nyote mnaonisoma, najibu haya kutokana na life experiences nilizokumbana nazo,
Kama kuna mtu ana hoja tofauti, ruksa tujadiliane nami nijifunze.
Mpaka sasa hakuna aliyenipa ushauri jinsi gani 'nijishushe!'...nisijemfanya Mamsap wangu Sponji/Shock Absorber!
 
Hahaha we Mbu umesikia mie mwalimu? Mwenyewe najifunza mengi hapa...Hapo kwenye namna ya kujishusha Mbu ni pagumu kwani inategemea na hulka ya mtu. Nimetoa mf wa wewe na Ld wote hamkubali kushindwa sasa wewe utajishushaje? Ingekuwa ni wewe labda na Lizzy Lizzy anajua wapenda ushindi ni rahsi kwake ni rahs kujishusha ili kuwe na amani.Kwa nyumba kubwa, yeye anawezajiepusha kukazana kubishana na mumewe kwa kuwa anamjua ni mbishi...
 
Reactions: Mbu
Mbu kwa kusoma thread zako za siku mbili tatu hizi inaonekana hutaki kabisa kuharibu mahusiano yako ya sasa maana unatafuta kila mbinu kuhakikisha huchoshi...huboi wala huwi too pushy...HONGERA KWA HILO pia nafurahia kwaajili yako kwa kumpata mtu ambae unajitahidi sana asije akakuponyoka!!Kweli umempata “alma gemela“ wako.Nwy kuhusu kujishusha naomba niseme ukweli wengi sana tuna hiyo tabia.Unachotakiwa ni kuwa na “limit“ ....usiyachukulie mahusiano yenu kama mashindano au mwenzi wako kama mshindani wako.Na hata kama unabisha kitu do it ‘calmly‘ that way hamtofanya kitu kidogo kuwa ugomvi.Alafu mara nyingi watu wabishi hua wanapenda sana kukatisha watu wengine wakiongea(yani unajikuta kama amesema kitu ambacho hukubaliani nacho unataka umrekebishe pale pale kabla hajamaliza anachosema) ila wenyewe hua hawapendi kabisaaaaa kukatisha...JIFUNZE KUA MSIKILIZAJI....najua hili kwa kujichunguza mwenyewe.Nwy jitahidi sana kukwepa hii kitu maana hua inaonyesha kama vile unadharau /hujali mwenzako anachoongea maana unaona wewe tu ndo mwenye point ya maana.Try and hold you tongue till she/he finishes...muda haukimbii.Last but nit least sometimes just let her win....then baadae mkishatulia unaweza ukamrekebisha taratibu /ukamfahamisha alipokosea.Hii inamnyima yeye nafasi ya kubisha!Nikifikiria mengine ntaongeza!!MJ1 mpenzi mwenyewe unesema hawa viumbe hawakosolewa...hata kuwaambia ukweli inabidi utumie akili.Unaweza ukafikisha ujumbe mmoja kwa njia mbili tofauti....ya kwanza ukaambulia mnuno na ya pilia ukashangaa unapata samahani au hug bila hata kuomba!Ni kiasi tu cha kuchezeana akili!
 
Reactions: Mbu

...mnh, kwa hili darasa unalotoa humu, ...siku yakinizidia ujue nakuletea kesi huko huko ulipo!
I hope nyumba kubwa ataridhia na majibu yako,...hajaingia leo humu, labda anapalilia penzi mida hii!


...ahsante Lizzy kwa kutambua hilo, umeyaandika haya kwa busara ya hali ya juu.
Na kweli, haitani cost a thing ku hold my tongue mpaka amalize kuongea/kulalamika...
na hilo la 'siku moja moja' kumuachia nae ajiskie sikie mshindi wa hoja---lol! (akinisoma hapa I hope ataelewa)
Nashukuru sana.


Aksante Lizzy, umefunguka mpenzi.....ni kucheza tu na akili

Na kweli Mwj1,...kucheza na akili.
 
I normally don't argue, ila the way ninavyo cross examine na ku probe watu nimegundua hawapendi. Ukinisimulia kitu inakuwa ngumu kutikisa kichwa bila kutaka kujua material facts.

Mfano kuna dada alikuwa anasimulia darasani kuwa yeye ana mapenzi ya hali ya juu na kazi yake (ni program coordinator wa NGO moja huko Guantemala). Wakati wenzie tunatafakari ni jinsi gani wafanyakazi wa NGOs wanaweza ku get poor people involved into their projects kwa kuwa in most cases they are not interested to, yeye akaja na story jinsi anavyofanya kazi hata kama watu watano tu wata turn up into her project ili mradi anajua with time wengine watavutiwa. Watu wakawa wanamsikiliza kwa umakini mkubwa. Mimi nikajikuta nachombeza kabla hajamaliza kusimulia "but you get your salary". Wacha akasirike, japo alijibu wakati mwingine silipwi huwa na volunteer lakini nilimuona kawa mdogo nikajisikia vibaya sana.


 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…