BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo.
Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma kwa makini. Enzo Fernández, ambaye kwenye jina lake kulikuwa na maelezo ya “stand central” (simama katikati), alishindwa kujizuia na kuangua kicheko baada ya kuona taarifa hizo. Bahati mbaya kwake, Mechi hiyo haikuwa na Penati😂😂😂
Nami nimekutana nayo tu instagram nikasema niwaketee nanyi, kama nikweli haya!😄😄
Source: Bongofive