Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke)
- Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe
- Matone ya mkojo hudondokea
- Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao)
- Kwa wanawake zina zinagusa Period
- Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu
Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original za mtumba zinazosifiwa ni nzito na hazichakai
Haijalishi imefuliwa kiwandani na kemikali, imetokea marekani,, ni brand kubwa za matajiri, n.k. bado ni kujishusha utu.
Na sio kwa masikini tu, huu umeshakuwa utamaduni ni mpaka kwa waliojiweza kiuchumi unawakuta wananunua za elf 5 au elf 10 kwasababu zina brand kubwa, zinavaliwa na wasanii Marekani, n.k.
Hata maduka ya nguo Ulaya, Unaweza kununua nguo ya kawaida, ukqijqribu na baada ya kununua unaweza kuomba ubadili ndani ya siku kadhaa, Lakini kwenye chupi / boxer huruhusiwi kujaribisha wala kubadilishiwa ukishainunua !!