Chupi inavaliwa wapi?

Chupi inavaliwa wapi?

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
WAUNGWANA TUVUNJE MBAVU KIDOGO!

..................nauliza hiviiiiii,NANI ANAJUA CHUPI INAVALIWA WAPI?me kila nikijiuliza sielew,
a)SEHEMU ZA SIRI
B)matakoni
c)kiunoni
d)sijui wapi aisee

tusaidiane mawazo hapa
 
Inavaliwa baada ya shughuli fulani
1) Baada ya kuoga
2) Baada ya Kunya
3) Baada ya shughuli ya baba na mama
Ongezeni mengine
 
Inavaliwa baada ya shughuli fulani
1) Baada ya kuoga
2) Baada ya Kunya
3) Baada ya shughuli ya baba na mama
Ongezeni mengine

4) Baada ya kupata tiGo
5) Wakati wa mambo flani kwa wenzetu kuvuja.
6) n.k
 
Zaidi zaidi inavaliwa kiunoni au unaiweka kiunoni maana kuna zingine za kupachika.
 
inaonekana sijaeleweka!
kwa mfano:
bangili huvaliwa mkononi,heleni huvaliwa masikioni,suruali huvaliwa kiunoni,n.k

je chupi huvaliwa wapi?
 
nawasaidia jibu,maanake hapa hamna mtu anaejua...........chupi huvaliwa NJIA PANDA!chukueni hiyo,mkawafundishe na wenzenu.sio tunazivaa tu halafu hatujui tunazivaa sehemu ipi
 
Labda nami niongeze swali. Kwa kawaida nguo ya ndani kwa mwanaume inavaliwa ili kuzuia sehemu zake za siri zisitingishike na kuchubuka, je kwa wanawake zinavaliwa ili kuzuia nini?
 
Akheri yetu sisi masai bwana,hamna mambo ya chupi,tulitafuta weeeeeeeee,tukaona hamna sehemu ya kuivalia na pia haisaidii kitu hiyo. Na ndio maana hatupati misisimko.
 
WAUNGWANA TUVUNJE MBAVU KIDOGO

..................nauliza hiviiiiii,NANI ANAJUA CHUPI INAVALIWA WAPI?me kila nikijiuliza sielew,
a)SEHEMU ZA SIRI
B)matakoni
c)kiunoni
d)sijui wapi aisee

tusaidiane mawazo hapa

Between your legs!!!!
 
Last edited:
Labda nami niongeze swali. Kwa kawaida nguo ya ndani kwa mwanaume inavaliwa ili kuzuia sehemu zake za siri zisitingishike na kuchubuka, je kwa wanawake zinavaliwa ili kuzuia nini?

..........ha ha haaaaaaa, inawezekana lengo la kuvaa chupi sikuhizi limebadilika maana wanawake sikuhizi sehemu zao za siri (******) yanaficha chupi badala ya chupi kuficha sehemu za siri
 
Mbona una jazba weye, huku jokes/utani tunapumzisha akili with trivial things.

WAELEZEE BWANA!
wanaumiza vichwa na siasa masaa 24,WITH NO SOLUTION ZAIDI YA KUPIGA KELELE!
 
Labda nami niongeze swali. Kwa kawaida nguo ya ndani kwa mwanaume inavaliwa ili kuzuia sehemu zake za siri zisitingishike na kuchubuka, je kwa wanawake zinavaliwa ili kuzuia nini?[/QUOTE

kuvuja!!
🙂
 
Back
Top Bottom