Labda nami niongeze swali. Kwa kawaida nguo ya ndani kwa mwanaume inavaliwa ili kuzuia sehemu zake za siri zisitingishike na kuchubuka, je kwa wanawake zinavaliwa ili kuzuia nini?[/QUOTE
kuvuja!!
🙂
In bad taste,chupi haizuii kuvuja pedi hufanya kazi hiyo.
Mbona una jazba weye, huku jokes/utani tunapumzisha akili with trivial things.
Haswaaaaaaaaaa na mkumbushie pia ianweza kuwa ndo tiba ya jina lake!
WAELEZEE BWANA!
wanaumiza vichwa na siasa masaa 24,WITH NO SOLUTION ZAIDI YA KUPIGA KELELE!
Sina jazba. Najaribu kusisitiza tu-maintain status ya great thinkers. Yaani hata kama ni kona ya jokes na utani, tuwe kweli tunaleta vitu standards ambavyo vinakubalika kweli kuwa jokes & utani.
Hapa ninachoona ni ulimnbukeni wa kutumia mtandao kutweza sehemu tukufu alizotupatia Mola wetu kuhusu dhima nzima ya uumbaji. Na mbaya zaidi watu kama wewe mnashindwa kuliona hili.
Kama mnafurahia kuzitweza sehemu zenu za uzazi mnaweza mkajiandikisha kule kwa akina Kibs mkaendeleza libeneke.
Narudia tena, MODS FUTA HII TAFADHALI.
Labda nami niongeze swali. Kwa kawaida nguo ya ndani kwa mwanaume inavaliwa ili kuzuia sehemu zake za siri zisitingishike na kuchubuka, je kwa wanawake zinavaliwa ili kuzuia nini?
Kijana unahitaji maombezi!!!!