Sina jazba. Najaribu kusisitiza tu-maintain status ya great thinkers. Yaani hata kama ni kona ya jokes na utani, tuwe kweli tunaleta vitu standards ambavyo vinakubalika kweli kuwa jokes & utani.
Hapa ninachoona ni ulimnbukeni wa kutumia mtandao kutweza sehemu tukufu alizotupatia Mola wetu kuhusu dhima nzima ya uumbaji. Na mbaya zaidi watu kama wewe mnashindwa kuliona hili.
Kama mnafurahia kuzitweza sehemu zenu za uzazi mnaweza mkajiandikisha kule kwa akina Kibs mkaendeleza libeneke.
Narudia tena, MODS FUTA HII TAFADHALI.