Kwa elimu yangu ya Sayansi Kimu tunapiga pasi ili kuua vijidudu. So inabd tuanike kufuli zetu juani then tuue vijidudu kwa pasi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Uswazi kuna mashine za kukausha nguo?
Chupi inaanikwa bafuni kwa wenye self contained kwa wasio na self cont. inaanikwa bedroom bana
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
Mie mwenzenu nina ugonjwa wa ENZIMA, sasa jinsi nilivojaaliwa hizi kufuli kwanza zaninyima raha!, Pili ndo huo ugonjwa nawashwa kweli kwenye kona za kufuli na kuchubuka! Hivo DR. wa ngozi Muhimbili amenipa go ahead nisiwenavaaa! Na ikibidi nivae G-STRINGS nikienda sehemu za maana Hizo G-Sring nilikuwa naanikaga njeeee kweupe tena kwa kuninginiza na vibanio viwili! Na hapa napoishi wote mabachelor! afu peke yangu ndo mdada, ikaanza tabia sikuipenda! Nikianika G-String zangu nakuta wamebebanisha MIBOXER yao juu wkt kamba iliobaki nyeupeee. Mijitu mingine bwana!!!!!!!
Mi ninazo kama thelathini hivi, navaa zikifika 15 zimechafuka nafua na kuanika hizo 15 zote nje kwenye kamba,then zikifika 15 tena kama kawa,kama una muda wa kuzishangaa nikianika kwenye kamba sawa we endelea ila ziko 30,hauwezi kuzijua zote na hata ukiziona kwenye kamba kesho nikitoka hauwezi kujua nimevaa ipi, ni mke wangu tu anayeweza kujua hivyo unabaki kuwa kama haujaona tu!
Afu muache sanaa. Wanaopiga pasi chupi hapa kiukweli kiroho safi ni wangapi? Preta, zile tong za lacy unazipasi??
Mbado kuona!
unaish bara gani wewe???????Huo Muda wa kuanika uko wapi? chupi inafuliwa na mashine na kukaushwa na mashine( joto 100oC. ) ikitoka huko kitu kiko hot kama chai ndani ya thermos. Haina fungus wala bacteria. Mambo ya kuanika anika tumesahau siku nyiiiiiingi.
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.unaish bara gani wewe???????
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.
mimi ninayo moja, huwa nikiifua naivaa hivyo hivyo! hukaukia mwilini! sijawahi kuanika!
to be honest, me huwa napiga pasi pichu zangu wakati naandaa nguo ya kuvaa. ni nadra sana kuvaa pichu bila kupiga pasi!
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.