Chupi yako unaanika wapi.................?

Chupi yako unaanika wapi.................?

Chupi inaanikwa bafuni kwa wenye self contained kwa wasio na self cont. inaanikwa bedroom bana
 
Kwa elimu yangu ya Sayansi Kimu tunapiga pasi ili kuua vijidudu. So inabd tuanike kufuli zetu juani then tuue vijidudu kwa pasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ukisema sayansi kimu kizaz cha leo ni MSAMIAT MPYA HUO,,,,,ILA ILE ILIKUA NI ELIMU BORA SANA,HADI SASA NAKUMBUKA HATUA ZA KUFUA NGUO MFANO SHATI AU SURUALI,UNAANZIA WAPI HADI WAPI
 
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

Vikivunda je?
 
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

Nakuunga mkono watu8. Nafikiri si jambo jema wala heshima kuanika chupi sehemu za wazi au nje! Utajisikiaje kuona chupi ya mama, baba, au hata dada yako au kakayako?

By the way, kama hautajali, hili jina watu8 maana yake nini?
 
Last edited by a moderator:
Mie mwenzenu nina ugonjwa wa ENZIMA, sasa jinsi nilivojaaliwa hizi kufuli kwanza zaninyima raha!, Pili ndo huo ugonjwa nawashwa kweli kwenye kona za kufuli na kuchubuka! Hivo DR. wa ngozi Muhimbili amenipa go ahead nisiwenavaaa! Na ikibidi nivae G-STRINGS nikienda sehemu za maana Hizo G-Sring nilikuwa naanikaga njeeee kweupe tena kwa kuninginiza na vibanio viwili! Na hapa napoishi wote mabachelor! afu peke yangu ndo mdada, ikaanza tabia sikuipenda! Nikianika G-String zangu nakuta wamebebanisha MIBOXER yao juu wkt kamba iliobaki nyeupeee. Mijitu mingine bwana!!!!!!!

hahahahahaaaa,,,,,,,,,,they are gift talented,ila hata me nilipokua naish nyakat za mvua huwa namuanulia mpangaji mwenyangu makufuli yake,akirudi huwa namwita na kumpa,she was glady 4 dat
 
Well,
Uanikaji wa nje unakua poa na hauna mushkeli kama mfuaji ana uwezo wa kuifua ikatakata,
Pili haina madoa sugu,
Na tatu haijachanika wala kutoboka!!!
 
Hahahaha lol!

Mi ninazo kama thelathini hivi, navaa zikifika 15 zimechafuka nafua na kuanika hizo 15 zote nje kwenye kamba,then zikifika 15 tena kama kawa,kama una muda wa kuzishangaa nikianika kwenye kamba sawa we endelea ila ziko 30,hauwezi kuzijua zote na hata ukiziona kwenye kamba kesho nikitoka hauwezi kujua nimevaa ipi, ni mke wangu tu anayeweza kujua hivyo unabaki kuwa kama haujaona tu!
 
Afu muache sanaa. Wanaopiga pasi chupi hapa kiukweli kiroho safi ni wangapi? Preta, zile tong za lacy unazipasi??
Mbado kuona!

to be honest, me huwa napiga pasi pichu zangu wakati naandaa nguo ya kuvaa. ni nadra sana kuvaa pichu bila kupiga pasi!
 
Last edited by a moderator:
Huo Muda wa kuanika uko wapi? chupi inafuliwa na mashine na kukaushwa na mashine( joto 100oC. ) ikitoka huko kitu kiko hot kama chai ndani ya thermos. Haina fungus wala bacteria. Mambo ya kuanika anika tumesahau siku nyiiiiiingi.
 
unaish bara gani wewe???????
 
Nakupa heko mkuu apo naunga mkono hoja
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria
 
Ukianika nje, halafu kunguru akaondoka nayo ni kwamba ilikuwa ina ...
 
unaish bara gani wewe???????
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.
 
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.

sie wa tandale hatuzimudu,is kipesa tu hata kiusalama kwenye makaz yetu,wewe fikiria chupi inaibwa ndo ije kua hiyo mashine???endelea kutumia wewe ,tanzania hakuna shida ya jua,hususan JIJI LA MEKI SADIQ
 
Haya mambo makubwa. Umenikumbusha jamaa aliyeona chupi ya mke wa jirani yake, na siku moja baada ya ugomvi kidogo jamaa akaamua kumwambia jirani yake rangi zote za chupi za mke wake. jambo hilo lilizua ugomvi kati ya wana ndoa wale hadi ndoa ikavunjika. Tahadhari sana, mtu asije akaiona chupi ya mke/mme wako.
 
Duh, sikuwezi mwali wewe! Utatufunda siku tunakuoza. Sijawahi kupiga pasi pichu in my life! Sasa zile za nanihii si unam
Panga 10 afu unalalisha pasi? Hongera mamito!
to be honest, me huwa napiga pasi pichu zangu wakati naandaa nguo ya kuvaa. ni nadra sana kuvaa pichu bila kupiga pasi!
 
Aisee, siku nikija SBRI ndege ikaleta kokoro nakuja kwako kufua nguo na pichu.
MImi nipo North America. Ninaishi karibu sana na SEATAC airport , Seattle, WA. Isiwe shida, hizi mashine zipo nyingi sana hapo Mlimani city, Dar-Es-Salaam. Bei sawa na bure 500K hadi 1m.
 
Back
Top Bottom