Chupi yako unaanika wapi.................?

Jifunze, ck moja moja kama jumamosi hivi unazifua zote then unazianika juani zinapigwa hewa, zinakauka , ikibidi zile zenye material ya pamba unazipasi pia

Mmh!Itanichukua muda sana aisee,yaani kuziweka nje naona ni kama mimi vile nipo nude hadharani.
 
Kusema ule ukweli wa Mungu sikumbuki mara ya mwisho kuvaa chupi ni lini.
Unajua na mazingira yanachangia kutovaa chupi,joto...joto...joto.

Ila faida ya kutovaa chupi ni kubwa kuliko hasara.
1. Upepo unapita bila wasiwasi.
2. Wale wenye 'kazi maalum' huwa hawapati kadhia ya vua,vaa.
3. Urutubisho unakuwepo.
4. Inasemekana kwa upande wa wanaume size ya 'kiungo' huongezeka.
5. Inasemekana kwa wale wanawake waliojaliwa makalio,Ukivaa chupi makalio yanaharibika yaani yanakuwa in shapeless.

Ila Idadi kubwa ya viumbe wasiovaa chupi duniani ni Wanaume wakifuatiwa na wasanii wa Kike.
Tukipiga Sachi Humu sidhani hata kama 12 watafika.

Maneno hayo yote nimeyanukuu mahali na si mtazamo wangu.
 
ahahahahhahhahahhaha we bwana we acha kabisa!kengele zikiwa wazi wazi yani wla sipati picha!

Yani afu ukute amebarikiwa ile mizigo afu kavaa suruali ya kitambaa. Kama siku hiyo umepanda daladala na hilo dume liko nyuma yako basi unahisi mizigo inakugusagusa.
We! we! we! we! we! we!
unahisi tu from soft something to hard thing nyuma yako.
Ila Wanaume wana tabu,acha tu mwanawane.
LOL..!!!
 
kwa kweli!eti wakisimamisha wanaumia,wakati siye wenzao tukiwa na hamu tunajipangusa tu!aahahahhahhhhahhahhahahha WANAUMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!mimi love dem bana!
 
Ila wanaumia acha tu.
Hebu pata picha mpaka anafikia hatua ya kubaka kuku,je,aliumia kiasi gani?
Ila ndo hvo,
ukweli utabaki palepale kuwa Wanaume ni dhaifu sana wasimamapo na demu ktk msongamano.
 
kuna baadhi ya sehemu uswahilini chupi huibwa kwa matumizi ya kishirikina,na kwa baadhi ya heshima na mila za makabila fulani chupi sio nguo ya kuonekana hovyo hovyo.
 
Ila wanaumia acha tu.
Hebu pata picha mpaka anafikia hatua ya kubaka kuku,je,aliumia kiasi gani?
Ila ndo hvo,
ukweli utabaki palepale kuwa Wanaume ni dhaifu sana wasimamapo na demu ktk msongamano.
kama wewe ulivyoumbika siwezi kukaa karibu yako bila kusisimkwa ninyi watamu bana.yaani maneno yako tu matamu sasa we ukoje?
 
Ila wanaumia acha tu.
Hebu pata picha mpaka anafikia hatua ya kubaka kuku,je,aliumia kiasi gani?
Ila ndo hvo,
ukweli utabaki palepale kuwa Wanaume ni dhaifu sana wasimamapo na demu ktk msongamano.

sa ndo ukute mtu mwenyewe awe kajazia jazia!
 
kwa kweli!eti wakisimamisha wanaumia,wakati siye wenzao tukiwa na hamu tunajipangusa tu!aahahahhahhhhahhahhahahha WANAUMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!mimi love dem bana!
halafu ukute mdada kapinda na kwenye daladala mmebanana gari ikiyumba anakuletea makochi yake unavumilia lakini mwisho kwa utamu na maumbile yenu inainuka.sasa ole wako uwe umevaa chupi mdebwedo.moyo unakuenda mbio huku unaogopa demu atakuchenjia unamminya na gunzi lako.ninyi tesa sisi sana.
 
Yani afu ukute amebarikiwa ile mizigo afu kavaa suruali ya kitambaa. Kama siku hiyo umepanda daladala na hilo dume liko nyuma yako basi unahisi mizigo inakugusagusa.
We! we! we! we! we! we!
unahisi tu from soft something to hard thing nyuma yako.
Ila Wanaume wana tabu,acha tu mwanawane.
LOL..!!!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zanguuuuuuuuuuu huku.
 
halafu ukute mdada kapinda na kwenye daladala mmebanana gari ikiyumba anakuletea makochi yake unavumilia lakini mwisho kwa utamu na maumbile yenu inainuka.sasa ole wako uwe umevaa chupi mdebwedo.moyo unakuenda mbio huku unaogopa demu atakuchenjia unamminya na gunzi lako.ninyi tesa sisi sana.
philipo kidwanga pole sana sasa ndo tushaumbwa hivo tufanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Objectiooooooooonnnnnnnnnnnn!

Ila wanaumia acha tu.
Hebu pata picha mpaka anafikia hatua ya kubaka kuku,je,aliumia kiasi gani?
Ila ndo hvo,
ukweli utabaki palepale kuwa Wanaume ni dhaifu sana wasimamapo na demu ktk msongamano.
 
Wanaume tumeubwa mateeeso mateeso!

kwa kweli!eti wakisimamisha wanaumia,wakati siye wenzao tukiwa na hamu tunajipangusa tu!aahahahhahhhhahhahhahahha WANAUMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!mimi love dem bana!
 
Wanaume tumeubwa mateeeso mateeso!

mi ndo mana huwa napenda kumpokea kwa mahaba hubbie anaporudi nyumbani,manake najua huko kakutana na mateso kibao ahahahahaahahahahha!wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!af mnajifanyaga wajanja wenyewe!
 
Hahahahahahaha

mi ndo mana huwa napenda kumpokea kwa mahaba hubbie anaporudi nyumbani,manake najua huko kakutana na mateso kibao ahahahahaahahahahha!wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!af mnajifanyaga wajanja wenyewe!
 
philipo kidwanga pole sana sasa ndo tushaumbwa hivo tufanyaje?
asante kwa pole lakini hayo mateso ni stahili yetu ni kwa sababu hamjijui tu lakini mngejijua vizuri mngetuendesha kama kokoteni mbovu.sipati picha msingeumbwa dunia ingepata hasara sana.god bless our mothers and give shame to those who torturers ladies.
 
Back
Top Bottom