Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Vifuniko vya asali (chupi) kwa wanawake sio kwaajiri ya kujistiri tu sehemu zenu za siri bali pia zina mchango mkubwa sana katika kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume.
Kwa kulitambua hilo ndio maana watengenezaji wa nguo za ndani za kike wamekua na aina mbalimbali za chupi kama bikini, G-string na chupi za kawaida.
Sasa kuna baadhi ya mikoa wanawake wanavaa bukta sasa akianza kuvua unajiuliza huyu alikua anaenda kucheza mpira au inakuaje au ndo kusema bed to bed midfield 😃😃😃
Vuta picha mwanamke ana big nyash hata kama sio makubwa sana lakini ametupia kitu cha bikini, akivua tu nguo za nje akabaki tu na bikini lazima taarifa zimfikie Abdallah kichwa wazi haraka sana yani ni kama vile speed ya mwanga (light) unavyosafiri.
Nakumbuka kuna siku nilikua nimetoka mihangaikoni nimechoka so mida ya saa tatu tu nikaingia kujilaza, lakini kabla sijapata usingizi nikamuona mke wangu amepanda kitandani na chupi ambayo kiukweli iliamsha hisia zangu nikajikuta nimehamasika kumvua na kufanya yangu ingawa sikua na mpango wa kushiriki nae tendo kwa siku ile.
Kwahiyo wadada jitahidini kuvaa chupi za kuvutia mana zinasaidia sana kuamsha hisia zetu, hata kama wewe ni mlokole huwezi kuvaa bikini ukiwa kwenye mihangaiko yako basi nunua uwe nazo ndani ili uwe unamvalia mumeo akiwa ndani kisha ukiwa unatoka endelea tu kuvaa bukta and stuffs like that.