Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Ilikua ni jioni ya saa 9 unusu, anapiga simu kwa mpenzie mpya anaetwa Tuzo,huyu ni mpenzie wa pembeni yaani anaiba!!Wanapanga wakutane ili waongozane kurudi home!Anampa lifti ya kutoka ofisini kwenda home,wakiwa njiani wanaamua wapite wakafanye HIV Testing ili waweze kuingia katika anga nyingine ya mapenzi yaani kula nyama mbichi mbichi.Wanafika kituo cha afya na baada ya dakika 20 mhudumu anawaita tayar kwa majibu,Tuzo anaamua mkaka achukue majibu yote kisha ampe taarifa za majibu yote.Kibiriti anafuata majibu na mhudumu anamweleza kua yako majibu ya aina mbili kati yao POSITIVE and NEGATIVE Kibiriti anataharuki anaonyeshwa,kumbe mdada kaathirika lkn Kibiriti yuko ok(Negative).
Anashukuru MUNGU lkn tyr keshatembea na huyu mdada mara mbili kwa kutumia mipira,anatoka nje,kimbembe ni je amweleze dada ukweli ama asimweleze???
Wadau msaidieni....
..................Kibiriti anampeleka Tuzo nyumbani,njiani haamini lkn hajui aanzie wapi kumwambia mpenziwe,mdada anaonyesha wasiwasi kwani Kibiriti kabadilika saaana lkn wanafika nyumbani wanaagana bila Kibiriti kumwambia ukweli,je kafanya sahihi?
Amwambieje mwambieje??
.........................Kibiriti anarudi kwake kufika njiani anaamua kumtafuta mpenzie mwingine(Kibiriti ni mwingi),mpenzie huyu ndie anampenda ndo wake wa moyo,anapiga simu weeeeeeeeeeeeeeeee inaita weeeeee zote mbili kisha moja inazimwa,anapatwa na wivu anaamua ngoja nipite home kwake kufika saa 4 usku gonga hollaaaa hamna mtu.....gonga saaaaaana holla hamna kitu anakua around saa 5 vile anaona gari inasogea taratibu kuangalia ndani anaona mpnzie haswa yuko na bwana mwingine...mtandao wa ngono....
Anaenda kwa gari lile anatambulishwa eti 'boyfriend'!!!!
Anamuuliza mpenzie je kwa nn unazima simu na hupokei,anajibiwa eti chaji kuchukua simu kucheki simu iko full charged.....
Kimeo......anacheck message ndani anakuta message za wakaka.....
JE TUTAPONA na mtandao ngono????
Je kwa hali hiyo ya kwanza Kibiriti afanyeje???amwambie au?
Je huyu wa pili amfanyeje??Je amsamehe tu kwani nae alikua mwingi??
Kibiriti anakuja na hitimisho 'hataki tena kuchezea maisha yake,anataka kua responsible man,one man one woman now...
Message hii infikie Fidel80 na wengineo wote hapa.
Movie script bado yaendelea kuandikwa lkn wadau ebu toeni ushauri wenu hapo juu