Chupu chupu frm hiv infection;kibiriti na maisha ya umri wa kati

Chupu chupu frm hiv infection;kibiriti na maisha ya umri wa kati

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2008
Posts
586
Reaction score
47
Ilikua ni jioni ya saa 9 unusu, anapiga simu kwa mpenzie mpya anaetwa Tuzo,huyu ni mpenzie wa pembeni yaani anaiba!!Wanapanga wakutane ili waongozane kurudi home!Anampa lifti ya kutoka ofisini kwenda home,wakiwa njiani wanaamua wapite wakafanye HIV Testing ili waweze kuingia katika anga nyingine ya mapenzi yaani kula nyama mbichi mbichi.Wanafika kituo cha afya na baada ya dakika 20 mhudumu anawaita tayar kwa majibu,Tuzo anaamua mkaka achukue majibu yote kisha ampe taarifa za majibu yote.Kibiriti anafuata majibu na mhudumu anamweleza kua yako majibu ya aina mbili kati yao POSITIVE and NEGATIVE Kibiriti anataharuki anaonyeshwa,kumbe mdada kaathirika lkn Kibiriti yuko ok(Negative).
Anashukuru MUNGU lkn tyr keshatembea na huyu mdada mara mbili kwa kutumia mipira,anatoka nje,kimbembe ni je amweleze dada ukweli ama asimweleze???
Wadau msaidieni....
..................Kibiriti anampeleka Tuzo nyumbani,njiani haamini lkn hajui aanzie wapi kumwambia mpenziwe,mdada anaonyesha wasiwasi kwani Kibiriti kabadilika saaana lkn wanafika nyumbani wanaagana bila Kibiriti kumwambia ukweli,je kafanya sahihi?
Amwambieje mwambieje??

.........................Kibiriti anarudi kwake kufika njiani anaamua kumtafuta mpenzie mwingine(Kibiriti ni mwingi),mpenzie huyu ndie anampenda ndo wake wa moyo,anapiga simu weeeeeeeeeeeeeeeee inaita weeeeee zote mbili kisha moja inazimwa,anapatwa na wivu anaamua ngoja nipite home kwake kufika saa 4 usku gonga hollaaaa hamna mtu.....gonga saaaaaana holla hamna kitu anakua around saa 5 vile anaona gari inasogea taratibu kuangalia ndani anaona mpnzie haswa yuko na bwana mwingine...mtandao wa ngono....
Anaenda kwa gari lile anatambulishwa eti 'boyfriend'!!!!
Anamuuliza mpenzie je kwa nn unazima simu na hupokei,anajibiwa eti chaji kuchukua simu kucheki simu iko full charged.....
Kimeo......anacheck message ndani anakuta message za wakaka.....

JE TUTAPONA na mtandao ngono????

Je kwa hali hiyo ya kwanza Kibiriti afanyeje???amwambie au?
Je huyu wa pili amfanyeje??Je amsamehe tu kwani nae alikua mwingi??

Kibiriti anakuja na hitimisho 'hataki tena kuchezea maisha yake,anataka kua responsible man,one man one woman now...

Message hii infikie Fidel80 na wengineo wote hapa.
Movie script bado yaendelea kuandikwa lkn wadau ebu toeni ushauri wenu hapo juu
 
nasema mwana JF yeyote aendelee kujifanya anajua sana ngono kama vile anakende tatu ila siku ukiambiwa unao ukimwi utatamani ujipige shoti ya umeme uto weke

Wasichana nao wajifanye wamezaliwa to make jogoo feels alive ila siku wakiupata watatamani waishi kambi ya jeshi ili kiwalipukie
 
Huyo mgonjwa ampeleke kwenye counselling apewe ushauri nasaha then apokee majibu yake......na namna ya kujikinga na kuishi kwa matumaini.....

Huyo wa pili asikilize moyo wake na instincts zake...amchunguze huyo dada kama yuko tayari kutulia then wasonge mbele kama hayuko tayari atafute mtu ambaye ametulia na yuko tayari kwa majukumu ya kiutu uzima......
 
mmmh,hii story kama ya kutunga,ingawa haya mambo yapo.kweli utoke kupima,mwenzako awe ameathirika,halafu hapo hapo umtafute mwengine?kwani ukishakujua mwenzako ameathirika ambae hujategemea,unaanza kujipanga upya hapo hapo,swala la m.ke unaliweka pembeni kwa muda.hata uwe kicheche vipi unashtuka kwanza
 
Hivi hii ni hadithi au?? Hebu niepe jibu then will be back

DA just imagine ndio kweli, mambo mengine ni bora kuyasikia au kuyasoma kama hivi.... nyaya zikikukamata utatamani ufe on the spot...
 
Hivi kuna watu bado wanaogopa kuambukizwa Virusi vya UKIMWI?
 
mmmh,hii story kama ya kutunga,ingawa haya mambo yapo.kweli utoke kupima,mwenzako awe ameathirika,halafu hapo hapo umtafute mwengine?kwani ukishakujua mwenzako ameathirika ambae hujategemea,unaanza kujipanga upya hapo hapo,swala la m.ke unaliweka pembeni kwa muda.hata uwe kicheche vipi unashtuka kwanza

Ndo maana mie nikauliza swali ni hadithi au ni kweli sijapata jibu mpaka sasa
 
DA just imagine ndio kweli, mambo mengine ni bora kuyasikia au kuyasoma kama hivi.... nyaya zikikukamata utatamani ufe on the spot...

BL hii story si ya kweli napenda niamini hivyo kwa sababu hizi:

  1. Kupima VVU ni hiari ya mtu binafsi.
  2. Kupewa majibu ni siri ya mtu hata kama umekwenda na mumeo utaulizwa swali uko tayari nani ajue majibu yako unless uniambie si "ANGAZA"
  3. Na majibu hayatolewi kwa maandishi hata siku moja
Sasa iweje waende wawili halafu majibu apewe mmoja hapo ndo naposhindwa kupata majibu. Hii ni hadithi
 
DENA hii ni TRUE TOLD STORY na imetokea kweli,huwezi amini lakini ndo hivyo.

Majibu yanatolewa kwa demokrasia ya maamuzi baina ya waliopimwa,kwamba mpe mwenzangu aniambie au tuambie sote au kila mmoja achukue majibu yake,na kuchukua majibu haimaanishi yameandikwa hata kuambiwa pia ni message delivering.
 
Huyo mgonjwa ampeleke kwenye counselling apewe ushauri nasaha then apokee majibu yake......na namna ya kujikinga na kuishi kwa matumaini.....

Huyo wa pili asikilize moyo wake na instincts zake...amchunguze huyo dada kama yuko tayari kutulia then wasonge mbele kama hayuko tayari atafute mtu ambaye ametulia na yuko tayari kwa majukumu ya kiutu uzima......

Michelle,kwa ushauri wako huu wapili wamaanisha kua aamue kunyoa au kusuka hata kama kichwa chenyewe kina mapunye??
 
DENA hii ni TRUE TOLD STORY na imetokea kweli,huwezi amini lakini ndo hivyo.

Majibu yanatolewa kwa demokrasia ya maamuzi baina ya waliopimwa,kwamba mpe mwenzangu aniambie au tuambie sote au kila mmoja achukue majibu yake,na kuchukua majibu haimaanishi yameandikwa hata kuambiwa pia ni message delivering.

Ha ha mimi najua kila mtu anafahamishwa bana nimekwenda ANGAZA mara nyingi kila nikirudi home sijahi kusikia hiyo kitu utaambiwa majibu yako then utaulizwa nani mwingine unataka afahamu mume/mke. Anyway labda ila mara ya kwanza tulikwenda na mzee kila mtu alipewa yake tukaulizwa unapenda mwenzio afahamu.

Haya bana
 
Ikiwa utaifanya kuwa stori ya kuelimisha fulani hivi katika movie itapendeza sana,kwani mwanzoni nilijua ni movie kumbe ni kapart kadogo tu kastori.
Huyu jamaa anahitaji kutulia na aachane na mwanamke wa pili ila huyu wa kwanza inafaa amwambie ukweli ili wajue nini cha kufanya.
Ila jamani ngono itatufanya tufe mapema maana hali tunayoenda nayo si nzuri hata kidogo,kwa haraka haraka ukipiga hesabu utagundua ni wapenzi wachache sana ambao hawawasaliti wapenzi wao.
 
Kuna baadhi ya Private hosp wanatoa majibu kwa maandishi:wink2:
 
Duh kupima ni ishu sana ila kama una mabibi au mabwana wengi ni bora utumie condom tu hata mkienda kupima hakuna kuaminiana hapo, mwenyewe unajijua mwingi halafu unataka kavukavu jamani hili janga linatisha lisikie tu kwa watu. tumeuguza marafiki na ndugu tumeona wanavyoteseka. condom condom condom hadanganyiki mtu hapa
 
Ila umesevu sana mkuu kwa kuamua kwenda kupima hongera sana ila ndio ujifunze leo mungu kakuokoa kesho anakuacha tu uipate fresh
 
Back
Top Bottom