Chupuchupu nimezwe na maji Coco Beach!

Chupuchupu nimezwe na maji Coco Beach!

Joined
Jan 14, 2020
Posts
19
Reaction score
42
Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote.

Kisa changu kipo hivi

Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco.

Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa bahati mbaya au nzuri akaja jamaa mmoja yeye hana boya tukawa tunaogelea pamoja tuanenda mbali zaidi ila yeye ni mzoefu na maji.

Tukasogea mbali kidogo na na kina kifupi cha maji sasa yule jamaa akawa ameshikilia boya langu mimi nikawa naelea kidogo.

Si akaliachia dakika sifuri boya linakaribia ufukweni dah! Nilijuta sana kumpa yule jamaa boya langu, tukawa tunaogelea kurudi ufukweni haikupita hata dk moja nikaanza kuchoka na kuhema sana basi yule jamaa kwa kunisaidia akaniambia nisipige maji kwa mguu nitumie tu mikono.

Nashukuru nilifanikiwa nikaikanyaga tena ardhi ya coco

Ila kwa shida sana
 
Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote.

Kisa changu kipo hivi

Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco.

Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa bahati mbaya au nzuri a
Majamaa wa maboya beach ya Covo na kawe wanawatafunaga sana mademu kwenye maji hajakutafuna kweli na huo msambwanda
 
Back
Top Bottom