Chura Amerudi!

kawaida tu angeimba mbona kuna ile fimbo yetu(vanesa)ambaye ikitokea umekugonga kidogo hata na mguu tu inabidi uwahishwe muhimbili,kapo na kanaimba,nachekaga sana kwenye show zake ule wimbo wa hamjui kanavyo hangaika na skonzi zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una maneno....
Ila usimfananishe vee na vitu vya ajabu[emoji19] ....
Ka vee kana mziki mzuri sio kama huyo Snura.
 
kawaida tu angeimba mbona kuna ile fimbo yetu(vanesa)ambaye ikitokea umekugonga kidogo hata na mguu tu inabidi uwahishwe muhimbili,kapo na kanaimba,nachekaga sana kwenye show zake ule wimbo wa hamjui kanavyo hangaika na skonzi zake.
ahahaha,ila vee ana swag,at least anaweza lingia hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…