Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Wakuu,
Nipo Naangalia Clouds TV,Kipindi cha Ng'ari Ng'ari,na Host wa Kipindi Anamuhoji Snura!
Snura Anashukuru Kufunguliwa kwa Chura Wake na Kuna Video Mpya ya Chura,Aliyefungiwa kwa Siku Mingi!
Unamuonaje Chura wa Sasa?