Chura Amerudi!

kawaida tu angeimba mbona kuna ile fimbo yetu(vanesa)ambaye ikitokea umekugonga kidogo hata na mguu tu inabidi uwahishwe muhimbili,kapo na kanaimba,nachekaga sana kwenye show zake ule wimbo wa hamjui kanavyo hangaika na skonzi zake.
JF bhana, raha sana
 
Hahaa... Kumbe ndio maana wanaita chura? Na kuruka kichurachura kupo kwenye hayo machezo yao![emoji3]
 
kawaida tu angeimba mbona kuna ile fimbo yetu(vanesa)ambaye ikitokea umekugonga kidogo hata na mguu tu inabidi uwahishwe muhimbili,kapo na kanaimba,nachekaga sana kwenye show zake ule wimbo wa hamjui kanavyo hangaika na skonzi zake.
Hahahahahaha eti skonzi..... kuna jamaa anaitwa jux ndo usingizi wake huo
 
kawaida tu angeimba mbona kuna ile fimbo yetu(vanesa)ambaye ikitokea umekugonga kidogo hata na mguu tu inabidi uwahishwe muhimbili,kapo na kanaimba,nachekaga sana kwenye show zake ule wimbo wa hamjui kanavyo hangaika na skonzi zake.
Koma wee. Wacha kumsema Vanessa vibaya! Kila binadamu kapewa au kunyimwa kitu na Mungu. Vanessa kapewa kipaji kikubwa cha muziki ila kanyimwa vitu fulani. Hata wewe hapo ulipo japo sikufahamu yapo mazuri umejaliwa na yapo uliyonyimwa.
 
Na wewe kwani ni ukuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…