Chura kuwa wengi Dar inasababishwa na nini

dadu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
475
Reaction score
332
Wadau habari za jioni
Naudhuria katika hadhara hii kulizungumzia jsmbo ambalo nimeliona katika jiji lenu la dar
Kila nikitembea niaona chura wanarukaruka chura wamejaa kila kona tofauti na mikoani
Je chura hao wamesababishwa na nini hapa dar
Kila bint kajaza kila mwanamke kajaza ni chura kwenda mbele
Je chura wananesanesa kila kona ya darwanasababishwa na nini
Naomba nijuzwe maana chura wa mikoani si kama hawa wa dar
Au kwa kuwa chura hawa wamevalishwa masuruali majeansna masketi mafupi na ya kubana
Ndio maana yananesanesa?
Wadau kazi kwenu
 
Unataka kumchunguza bata.....

Wanawake wa Dar ndo asili yetu hiyo[emoji196] [emoji196] [emoji196]
Mimi nadhani chips zasababisha chura kuwa mkubwa
Na kunesanesa maana mji mzima ni chips tu
 
Nyie jamaa wa mikoa bwana... mkija town kila kitu mnashangaa...
Hawa wa huku hawabeb ndoo kichwan.. hawatwangi mahindi... wala hawatembei mwendo mrefu...lazima kyura kiwepo
Hatushangai tunataka kujua kwanini wananesanesa kiasi hicho
 
mabwa ya mejaa maji baada ya mvua kubwa
 
Na vilevile bidhaa huenda sana kule inakohitajika,dar chura wanaliwa sana kuliko mkoani
Nakubaliana na wewe mkuu hiyo ndio sababu
Hamira .... napita tu si mkaazi wa dar
 
Chips muda wote na mayonaiz za kutosha hakuna kazi ngumu huku
Nakubali mkuu ila ipo sababu zaidi ya hiyo maana vyura wengine wanatisha wananesanesa hata zaidi ya snura
Jamani kunani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…