Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura ndio mtamu jamani samaki wa nnSisi wabmikoani hatuwezi kula vyura
Wenyewe tumezoea samaki kipande cha mkia au tumbo
Ndio maana chura wanazaliwa wengi mkuu
dah yaani we kweli wa kijijini,huelewi kinachoongolewa kabisa
Wadau habari za jioni
Naudhuria katika hadhara hii kulizungumzia jsmbo ambalo nimeliona katika jiji lenu la dar
Kila nikitembea niaona chura wanarukaruka chura wamejaa kila kona tofauti na mikoani
Je chura hao wamesababishwa na nini hapa dar
Kila bint kajaza kila mwanamke kajaza ni chura kwenda mbele
Je chura wananesanesa kila kona ya darwanasababishwa na nini
Naomba nijuzwe maana chura wa mikoani si kama hawa wa dar
Au kwa kuwa chura hawa wamevalishwa masuruali majeansna masketi mafupi na ya kubana
Ndio maana yananesanesa?
Wadau kazi kwenu
Chips muda wote na mayonaiz za kutosha hakuna kazi ngumu huku
Umesahau na vitambi zembe vilivyoshamiri kwenu vyura wa Dar kiasi kwamba hamna hata mvuto. Kitambi hicho tako hilo na huwezi tofautisha mbele wapi na nyuma wapi, mnaboa yaani.
Chura wanaorukaruka kwenye maji ya mtaroni. Kama pale vingunguti[emoji87]Unaamisha Chura mchezaji Wa Yanga ?
kumbe wenye vitambi na vyura wapo dar tu tanzania nzima noma sana.