Chura kuwa wengi Dar inasababishwa na nini

Vyura watakuwa wanaliwa sana huko.

Ni kama kushanga kukutana na Ganja Arusha
 
cha ajabu mikoani wanaume ndio wana chura- hatari sana hii(in kipozeo voice)
 
Mkuu Ngoja nikujibu katika kipengele kimoja ninachoweza!! Hapo kwa kunesanesa hakika waga hawavai Kyupi mkuu wangu si unajua kale kajoto kadaslamu mkuu!!!!
 
Inasababishwa na wala chura nao kuwa wengi dar...
 


Dar ni jiji chafu sana, madimbwi kila kona na mavi haswa Mbagala, Tandale, Kinondoni, Magomeni....yaani sehemu nyingi za Dar ni ishu kwa uchafu.
 
Mkuu ni shida hapa kazin kwetu wamejaa c utani MTU akitembea,kidogo anaema
 
Ukame si unajua madimbwi mengi yamekauka.
 
Ukame si unajua madimbwi mengi yamekauka.
Madimbwi yakikauka chura hapatikani
Ila sema chura wanakunya maji mengi kwenye madimbwi
Madimbwi yana maji mengi ndio maana chura anakuwa mkubwa
 
Vyura watakuwa wanaliwa sana huko.

Ni kama kushanga kukutana na Ganja Arusha
Kuna mchemsho na wa kukaanga
Pia wakubanika pia wanapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…