Chura kuwa wengi Dar inasababishwa na nini

Mkuu Ngoja nikujibu katika kipengele kimoja ninachoweza!! Hapo kwa kunesanesa hakika waga hawavai Kyupi mkuu wangu si unajua kale kajoto kadaslamu mkuu!!!!
Sasa nimejua siri ya kunesanesa
Kumbe chura hapatani na joto
Ahsante mkuu
 
Unatakiwa ufire hao lasivyo utakua unawaona kila sku
 
Unatakiwa ufire hao lasivyo utakua unawaona kila sku
Sisi wabmikoani hatuwezi kula vyura
Wenyewe tumezoea samaki kipande cha mkia au tumbo
 
Hizo ndiyo neema za kuishi MUJINI Dar. Chura kila kona.

 
Chips muda wote na mayonaiz za kutosha hakuna kazi ngumu huku


Umesahau na vitambi zembe vilivyoshamiri kwenu vyura wa Dar kiasi kwamba hamna hata mvuto. Kitambi hicho tako hilo na huwezi tofautisha mbele wapi na nyuma wapi, mnaboa yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…