Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Ukitaka mtakatifu, kaumbe wa kwako mpya. Na hakuna aliye mkamilifu. Tabia hubadilika pia na kuwa mbaya au njema accordinglyKama kchwa cha habari hapo juu, WAKUU hii ipo mitaa karibu yote katika majiji makubwa na miji midogo hadi mikoani yani unakuta demu mkali kikweli kweli lakini ni MALAYA hatari yani AFISA MTOA URODA na kila mtu au asilimia kubwa ya vijana washamtembezea RUNGU na bado kama mgeni ukifika au kuamia mtaa huo ukibahatika kumpata utajiona umepata bonge la demu mixer kujimwambafai kumbe vjana wa hapo mtaani WANAKUCHORA na kukuona ZAMWAMWA. Je ushawah kutana na situation kama hii au umeexperience mwenyewe TOA USHUHUDA
Daaah mwamba umenikumbusha mbali kidogo, kumbe na wewe ulipiga pale?? kuna jamaa alikuja mgeni hv alimanusura amuweke ndani(Kuoa) wahuni wakamzuia ila akaona wanamuonea wivu, wiki tu alinyoosha mikono juu kwa TeklaKuna demu walikua wanakaa veta mbeya karbu kwao wanafyatua matofal anaitwa tekla wahuni walikua wanapga hatari na demu ni mkali hatari halaf anapenda kucheza dubu la wachina hatari sjua alpotelea wap jaman
Kumbe nawe unamjua?Daaah mwamba umenikumbusha mbali kidogo, kumbe na wewe ulipiga pale?? kuna jamaa alikuja mgeni hv alimanusura amuweke ndani(Kuoa) wahuni wakamzuia ila akaona wanamuonea wivu, wiki tu alinyoosha mikono juu kwa Tekla
Nsaidie m1Hata huku kwetu ndio kwanza wanaongezeka, huwaga ni mapepo aiseee....
Baada ya Zwazwa limeingia neno lingine Zamwamwa😂😂😂Kama kchwa cha habari hapo juu, WAKUU hii ipo mitaa karibu yote katika majiji makubwa na miji midogo hadi mikoani yani unakuta demu mkali kikweli kweli lakini ni MALAYA hatari yani AFISA MTOA URODA na kila mtu au asilimia kubwa ya vijana washamtembezea RUNGU na bado kama mgeni ukifika au kuamia mtaa huo ukibahatika kumpata utajiona umepata bonge la demu mixer kujimwambafai kumbe vjana wa hapo mtaani WANAKUCHORA na kukuona ZAMWAMWA. Je ushawah kutana na situation kama hii au umeexperience mwenyewe TOA USHUHUDA
HahahaDaaah mwamba umenikumbusha mbali kidogo, kumbe na wewe ulipiga pale?? kuna jamaa alikuja mgeni hv alimanusura amuweke ndani(Kuoa) wahuni wakamzuia ila akaona wanamuonea wivu, wiki tu alinyoosha mikono juu kwa Tekla
Uliishapigwa na kitu kzito inaonekana.Ukitaka mtakatifu, kaumbe wa kwako mpya. Na hakuna aliye mkamilifu. Tabia hubadilika pia na kuwa mbaya au njema accordingly
Na umemtaja jina lake hadi eneo aliloishi?Siyo uungwana.Kuna demu walikua wanakaa veta mbeya karbu kwao wanafyatua matofal anaitwa tekla wahuni walikua wanapga hatari na demu ni mkali hatari halaf anapenda kucheza dubu la wachina hatari sjua alpotelea wap jaman
acha ujnga kaka, mbna humu kutwa nzma mnawataja kna biamond kuliwa na pdidy nao n ungwana? mbna xjawah kukuona ukikemea popote? acha ujuaj mzee nshakuonya sana lakn ww n debe tupu unaonekanaNa umemtaja jina lake hadi eneo aliloishi?Siyo uungwana.
Wametaja wengine na si mimi.Usimfadhaishe mtu na utu wake kwa kumuanika mnoo.acha ujnga kaka, mbna humu kutwa nzma mnawataja kna biamond kuliwa na pdidy nao n ungwana? mbna xjawah kukuona ukikemea popote? acha ujuaj mzee nshakuonya sana lakn ww n debe tupu unaonekana
Ni kama vile unavyogongewa mke au demu, wanaokuzunguka wote wanakuwa wanajua kasoro wewe..!!!Na kuna mjinga atamuoa kabisa kumfanya mke