Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kama kchwa cha habari hapo juu, WAKUU hii ipo mitaa karibu yote katika majiji makubwa na miji midogo hadi mikoani yani unakuta demu mkali kikweli kweli lakini ni MALAYA hatari yani AFISA MTOA URODA na kila mtu au asilimia kubwa ya vijana washamtembezea RUNGU na bado kama mgeni ukifika au kuamia mtaa huo ukibahatika kumpata utajiona umepata bonge la demu mixer kujimwambafai kumbe vjana wa hapo mtaani WANAKUCHORA na kukuona ZAMWAMWA.
Je, ushawah kutana na situation kama hii au umeexperience mwenyewe TOA USHUHUDA
Je, ushawah kutana na situation kama hii au umeexperience mwenyewe TOA USHUHUDA