Chura waajabu-Mkubwa kuliko wote duniani

Chura waajabu-Mkubwa kuliko wote duniani

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Ndugu zangu ni vyema kujua mambo na kujifunza. Hii nimeipata kwenye mtandao wa
Protecting Goliath, the World's Largest Frog | Global Wildlife Conservation

1543831569118.png


Chura huyu anaitwa Goliath Frog, urefu wake ni 12.5 inches .
 
DAH! Mi nilijua yule chura wetu tunaemjuaga... very disappointed
 
eti chura mkubwa kupita wote duniani, ina maan wamepita kwenye mabwawa yote mpaka la huku kwetu kupima hao vyura?
 
Mm nkajua mwajuma ndala ndefu amesha jibinjua nduku lote kwa public
 
Back
Top Bottom