Chura waajabu-Mkubwa kuliko wote duniani

Chura waajabu-Mkubwa kuliko wote duniani

Ndugu zangu ni vyema kujua mambo na kujifunza. Hii nimeipata kwenye mtandao wa
Protecting Goliath, the World's Largest Frog | Global Wildlife Conservation

View attachment 954258

Chura huyu anaitwa Goliath Frog, urefu wake ni 12.5 inches .
kuna siku nimeenda Dodoma Mpwapwa ndani kabisa huko.. kuna mzee alikuwa anahadithia kuhusu uwepo wa vyura kipindi cha miaka ya chini ya 1950.. anasema walikuwa wakubwa mno kama sefuria ya kusongea ugali wa kutosha watu nane na zaidi.. vyura hao walikuwa ni vitoweo walikuwa wanawindwa sana. baada ya mabadiliko ya tabia nchi walipotea kabisa.....
 
Back
Top Bottom