kuna siku nimeenda Dodoma Mpwapwa ndani kabisa huko.. kuna mzee alikuwa anahadithia kuhusu uwepo wa vyura kipindi cha miaka ya chini ya 1950.. anasema walikuwa wakubwa mno kama sefuria ya kusongea ugali wa kutosha watu nane na zaidi.. vyura hao walikuwa ni vitoweo walikuwa wanawindwa sana. baada ya mabadiliko ya tabia nchi walipotea kabisa.....