LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Do go yupo vizuri sana kuna siku alisema aliiba pochi ya mdada akachukua ATM card alipoenda kwenye ATM machine ikampa option ya lugha kati ya English na Swahili akasema " nikachagua English kwa sababu ningechagua kiswahili ingeniletea hela ya Tanzania.. Kuna do go mwingine anaitwa Njoroge yupo vizuri sana ..Bila kumsahau Majimoto wa MombasaNa huyo dogo MCA Tricky? Mi huyu namkubali sana kuliko hao!!