Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina endelea live kwenye ukumbi wa AICC AREANA ARUSHA, hosted by RC Paul Makonda.
Aisee hiki kipindi kimelidhi ubora wa viwango bila ubishi, in other words"it has quality without compromise. " Kama kuna yeyote hajawai kuenjoy vichekesho, nina recommend wa invest muda wao kuangalia hiki kipindi. Sitaki mambo mengi, ila kwa upande wangu I can't wait for profesa hamo apande stejini kuanza kuperform.
It's quality quality n quality. Tanzania tumepiga hatua sana kwenye mpira, music ila kwenye stand up comedy tupo nyuma sana. Ndio maana hatuna hata msanii mmoja wa stand up comedy anayejulikana.
Tumezoea kumuona Eric omondi ambaye ni prd wa Churchill show, aisee naomba nisiongee sana. Kama inawezekana naomba muangalie, ila mumngojee profesa hamo maana jamaa anajua sana. Kila la kheri. Enjoy